Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mwendokasi ni moja ya faida itokanayo na ulipaji wa kodi. Tulipe kodi tuijenge nchi yetu.
Uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji safi na salama uliopo Longido Mkoani Arusha. Huu ni mradi uliotekelezwa kutokana na ulipaji wa kodi
Kodi zinazolipwa husaidia ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya barabara, mfano ujenzi wa barabara ya Njombe - Makete (Km 107.4)