Maadili ya msingi ya TRA ni mkusanyiko wa mipaka ya kimaadili  ambayo yanatumika ndani ya TRA.  Yanaelezea utu wa TRA na ni ya kiwango cha maadili ambayo yanaweza kutumika kuipima TRA.  Maadili haya ni mkataba wa uwajibikaji kwa wadau ambao wanashirikishwa katika kila hatua inayochukuliwa na shirika.

a) Uwajibikaji: Tunatengeneza na kuendeleza shirika lenye kuthamini na kuhamasisha uwajibikaji

b) Uadilifu: Tunaamini katika kutenda haki katika shughuli zetu zote kwa walipakodi na wadau wengine.

c) Weledi: tumejizatiti kutumia sheria ipasavyo, kuwajibika na kwa ukamilifu kutumia ujuzi na maarifa kama masharti katika kusimamia mahitaji yetu.

d) Uaminifu