Mawasiliano Mamlaka ya Mapato Tanzania
Makao Makuu
Msimbo wa Posta:28 Edward Sokoine Drive,11105 Mchafukoge, Ilala CBD, S.L.P 11491, Dar es salaam, Tanzania
Kituo cha huduma kwa Wateja
Tafadhali piga simu kwa maswali, malalamiko na maoni. Wateja wote wa TRA wanahamasishwa
kutumia huduma hizi popote pale walipo.
Simu za Tanzania zitakuwa bure:
0800 750 075
0800 780 078
Muda wa kazi Kituoni utakuwa kuanzia Saa 02:00 Asubuhi mpaka 01:00 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki Jumatatu hadi Ijumaa isipokuwa siku za sikukuu.
Ofisi za TRA za Mkoa
Tafuta taarifa zote za mawasiliano kwa ofisi za mikoani hapa.