Mamlaka ya Mapato Tanzania
Toggle Navigation
  • English
  • Maskani
  • Kuhusu TRA
    • Mkataba na mlipakodi
    • Dhamira na Dira ya TRA
    • Mpango Mkakati
    • Muundo wa Taasisi
    • Maadili kwa wafanyakazi wa TRA
    • Huduma ya barua pepe ya wafanyakazi wa TRA
  • Mawasiliano
  • Ajira
  • Zabuni
  • Minada
  • Mrejesho


         Bwana Alphayo J. Kidata

              Kamishna Mkuu

                           

Huduma za mtandao

  • Maskani
  • Jisajili kwa ajili ya TIN
  • Jisajili kwa ajili ya malipo
  • Tuma Taarifa ya VAT
  • Leseni za forodha
  • Usimamizi wa mizigo ya forodha
  • Usimamizi wa mashine za EFD
  • Jisajili kwa ajili ya kazi za Wasanii
  • Usaili wa Majengo

Viungo chapuchapu

  • Mashine za risiti za kielektroniki
  • Fomu
  • Pingamizi na rufaa za kodi
  • Ulipaji kodi
  • Raia wanaorejea nchini
  • Kuanzisha biashara
  • Kalenda ya matukio ya kodi
  • Riba, Adhabu ya ucheleweshwaji na Makosa

Maktaba

  • Sheria
  • Mikataba ya Kodi baina ya Nchi mbili
  • Maamuzi ya Kesi za Kodi
  • Machapisho
  • Takwimu za makusanyo ya kodi
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
  • Jedwali la Makato ya Kodi

Linki Linganifu

Chuo cha Kodi

Wizara ya Fedha na Mipango

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji

Mamlaka ya Bandari Tanzania

BRELA

African Tax Administration Forum

Kenya Revenue Authority

Uganda Revenue Authority

Rwanda Revenue Authority

Office Burundais des Recettes

South African Revenue Service

  • Upo Hapa:  
  • Maskani
  • Kodi ya ongezeko la thamani

Kodi ya Ongezeko la Thamani ni nini?

Kodi ya Ongezeko  la Thamani ni kodi ya mlaji inayotozwa katika bidhaa zinazostahili kutozwa kodi, ikiwa ni pamoja na huduma, mali zisizohamishika na shughuli yoyote ya kiuchumi wakati wowote thamani inapoongezeka katika kila hatua ya uzalishaji na katika hatua ya mwisho ya mauzo. Kodi ya Ongezeko  la Thamani  inatozwa kwa bidhaa zote zinazozalishwa ndani na huduma na kwenye maduhuli. Kodi ya Ongezeko la Thamani anatozwa mtu aliyesajiliwa kulipa Kodi ya Ongezeko  la Thamani  tu.

Mawanda ya Kodi ya Ongezeko  la Thamani  ni yapi?

Kodi ya Ongezeko  la Thamani  itatozwa katika usambazaji wowote wa bidhaa, huduma na bidhaa zisizohamishika za shughuli yoyote ya kiuchumi Tanzania Bara ambapo ni usambazaji unaotozwa kodi unaofanywa na mlipa kodi katika shughuli ya kiuchumi anayofanya. Uingizaji wa bidhaa zinazokatwa kodi kutoka sehemu yoyote nje ya Tanzania Bara zitatozwa Kodi ya Ongezeko  la Thamani  na Sheria za Kawaida za Forodha na taratibu zitatumika. Bidhaa zote zitakazotumika nje ya Tanzania Bara hazitatozwa Kodi ya Ongezeko  la Thamani  baada ya kupata uthibitisho. Kodi ya Ongezeko  la Thamani  itatozwa kwa bidhaa na huduma zinazotozwa kodi. Viwango sanifu vya Kodi ya Ongezeko  la Thamani ni 18% na 0% kwa bidhaa zinazosafirishwa nje ya nchi.

List of articles in category Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
Title
Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani
Taarifa ya VAT na Malipo ya Kodi
Viwango vya Kodi
Kodi ya Ongezeko la Thamani inatozwaje?
Marejesho ya Kodi ya Ongezeko la Thamani
Nafuu ya kodi ya ongezeko la thamani
Malipo na Uwasilishaji wa Uthibitisho wa Malipo
Uwasilishaji wa Taarifa kwa njia ya Mtandao

Vikokotoo Vya Kodi

  • Kikokotoo cha Magari
  • PAYE Tanzania Bara
  • PAYE Tanzania Zanzibar

Rudi Juu

© 2022 Mamlaka ya Mapato Tanzania