“Tunarahisisha ulipaji kodi na kuboresha maisha”

TRA inaamini kwamba inawezekana kukusanya mapato kwa utaratibu rahisi na wa wazi na walipakodi watapata urahisi wa kupata huduma zinazotolewa kwa wakati.  Matokeo ya kuongezeka kwa ukubalifu yatadhihirika kwa kuongezeka kwa mapato kwa ajili ya serikali kutoa huduma za jamii zinasostahiki na kwa ubora. Hii itaifanya jamii ya walipakodi  kufurahia manufaa ya kijamii na kiuchumi kutokana na kodi wanazolipa katika kuboresha hali ya maisha.

 

Dira

‘’Kuongeza mapato ya ndani kwa kuimarisha ulipaji wa kodi wa hiari’’