Kodi ya kubadili umiliki wa chombo cha moto inalipwa wakati chombo kinapobadili mmiliki kutoka mtu mmoja kwenda mwingine. Kodi ya kuhamisha inalipwa na mmiliki mpya na ushuru wa stempu 1% unalipwa na muuzaji. Kodi hizo zinalipwa benki.

Kodi za Kubadili Umiliki

Gari

ShT 50,000

Pikipiki

ShT 27,000

Kadi mpya ya usajili iliyobadilishwa

ShT 10,000