WARAKA NA. 144 WA 2022

Vifuatavyo ni viwango vya kubadilisha fedha za kigeni vinavyotumika kuanzia tarehe 12 Agosti 2022.Tafadhali zingatia kuwa Viwango vya kuuza ni kwa ajili ya Maduhuli wakati Viwango vya Kununua ni kwa ajili ya Mahuruji.