Kamishna anaweza kukubali kupokea pingamizi lililochelewa kuwekwa kwa kuzingatia sababu zifuatazo:

  •  Kama Kamishna Mkuu ameridhika kuwa sababu za kuchelewa ni kutokuwepo kwa mlipakodi katika Jamhuri ya Muungano;
  •  Kama Kamishna Mkuu ameridhika kuwa sababu za kuchelewa  ni ugonjwa;
  • Sababu nyingine za msingi baada ya kuridhika kwa Kamishna Mkuu.