Daraja la Kelema linalounganisha barabara kutoka Dodoma kuelekea Babati mkoani Manyara, ujenzi wa daraja hilo umetokana na kodi za Watanzania.
Barabara ya kutoka Dodoma kuelekea Mkoani Iringa kupitia Mtera ikiwa imekamilika na kwa sasa inapitika, ujenzi wa barabara hii unatokana na kodi za Watanzania.
Kivuko kipya cha Msanga Mkuu mkoani Mtwara ambacho kwa sasa kinatumika kuvusha wakazi wa mkoani hapo, ambapo upatikanaji wa kivuko hicho unatokana na kodi za Watanzania
Daraja la juu la Mfugale lililopo katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela maeneo ya Tazara jijini Dar es Salaam, ambapo kodi za watanzania ni kati ya fedha zilizotumika katika ujenzi wa daraja hilo
Ndege aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa kwa kodi za watanzania
Ujenzi wa miundombinu mbalimbali zikiwemo barabara na madaraja ya juu ni moja ya faida itokanayo na ulipaji wa kodi. Tulipe kodi tuijenge nchi yetu.
Ujenzi wa miundombinu mbalimbali zikiwemo barabara na madaraja ya juu ni moja ya faida itokanayo na ulipaji wa kodi. Tulipe kodi tuijenge nchi yetu.