Huu ni ukadiriaji wa kodi kama unavyoongozwa au kuhalalishwa na kila sheria ya kodi  inayohusika.

Makadirio yenye Mgogoro

Haya ni makadirio ambayo yamefanywa na Kamishna Mkuu na mlipakodi hakubaliani na matokeo ya makadirio hayo.

Kodi Isiyokuwa katika Mgogoro

Hii ni kodi ambayo haina mgogoro kwa pande zote mbili.