Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa kalenda hii ili kuwakumbusha walipakodi na wadau tarehe muhimu za kujaza taarifa za malipo ya kodi, kufanya malipo ya kodi na matukio mengine muhimu. Kalenda hii itawasaidia katika kupanga masuala yenu ya kodi.

Tarehe

Suala/Tukio

Alhamisi, 7 Januari

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumanne, 26 Januari

Siku ya Forodha Duniani

Ijumaa, 29 Januari

Tarehe ya kuwasilisha Ripoti za VAT za Desemba 2014 na kulipa kodi kulingana na ripoti

Ijumaa, 5 Februari

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumatatu, 29 Februari

Tarehe ya kuwasilisha Ripoti ya VAT na kulipa kodi kulingana na ripoti

Jumatatu, 7 Machi

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Alhamisi, 31 Machi

Tarehe ya kuwasilisha Ripoti ya VAT ya Februari na kulipa kodi kulingana na ripoti ya kodi

Alhamisi , 31 Machi

Walipakodi ya Mapato kwa Awamu:

Tarehe ya malipo ya awamu ya kwanza ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016 kwa walipakodi ambao kipindi cha hesabu kinaishia Desemba 2016

 Tarehe ya malipo ya awamu ya nne ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2015 kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Machi 2016

Tarehe ya malipo ya awamu ya tatu ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016 kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Juni 2016

Tarehe ya malipo ya awamu ya pili ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2015 kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Septemba 2015

Alhamisi, 31 Machi

Ripoti ya mwisho ya mapato na malipo ya makadirio binafsi ya kodi

 Tarehe ya kuwasilisha ripoti ya mwisho ya mapato kwa mwaka wa mapato wa 2014 kwa walipakodi ambao kipindi cha kulipa kodi kinaishia Septemba 2015

Jumatano, 6 Aprili

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Ijumaa, 29 Aprili

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa za VAT za Machi na kulipa kodi kulingana na ripoti

Ijumaa, 6 Mei

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumanne, 31 Mei

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa za VAT za Aprili na kulipa kodi kulingana na taarifa za kodi

Jumanne, 7 Juni

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumapili, 26 Juni

Siku ya madawa haramu Duniani

Alhamisi, 30 Juni

Walipakodi kwa awamu:

 Tarehe ya malipo ya awamu ya pili ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato  2016 kwa walipa kodi ambao kipindi chao cha malipo ya kodi kinaishia Desemba 2016

 Tarehe ya malipo ya awamu ya tatu ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016 kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Septemba  2016

 Tarehe ya malipo ya awamu ya nne ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016 kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Juni 2016

Tarehe ya malipo ya awamu ya kwanza ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017 kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia  Machi 2017

Alhamisi, 30 Juni

Taarifa ya mwisho ya mapato na malipo ya makadirio binafsi ya kodi

Tarehe ya kuwasilisha taarifa ya mwisho ya mapato kwa mwaka 2015  kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Desemba 2015

Alhamisi, 30 Juni

Tarehe ya kuwasilisha taarifa ya VAT ya mwezi Mei na kulipa kodi kulingana na taarifa ya mapato

Ijumaa, 1 Julai

Maadhimisho ya miaka 20 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania

Jumatano, 6  Julai

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Ijumaa, 29  Julai

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa za VAT na kulipa kodi kulingana na taarifa za mapato

Ijumaa, 5  Agosti

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumamosi, 20  Agosti

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa za VAT za Julai na kulipa kodi kulingana na taarifa ya mapato

Jumatano, 7 Septemba

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Ijumaa, 30 Septemba

Walipakodi kwa awamu:

 Tarehe ya malipo ya awamu ya tatu ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa  2015 kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Desemba 2015

Tarehe ya malipo ya awamu ya nne ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016 kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Septemba  2016

 Tarehe ya malipo ya awamu ya kwanza ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017 kwa walipakodi ambao kipindi chao cha kulipa kodi kinaishia Juni 2017

 Tarehe ya malipo ya awamu ya pili ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017  kwa walipakodi ambao kipindi cha kulipa kodi kinaishia  Machi 2017

Jumanne, 20  Septemba

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa za VAT za Agosti na kulipa kodi kulingana na taarifa za mapato

Ijumaa, 30 Septemba

Ripoti ya mwisho ya mapato na malipo ya kodi za kujikadiria

Tarehe ya kuwasilisha ripoti ya mwisho ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016  kwa walipakodi ambao kipindi cha malipo ya kodi kinaishia Machi 2016

Ijumaa, 7 Oktoba

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Alhamisi, 20  Oktoba

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa ya VAT ya Septemba na kulipa kodi kulingana na taarifa ya mapato

Jumatatu, 7  Novemba

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumapili,20  Novemba

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa ya VAT ya Oktoba na kulipa kodi kulingana na taarifa ya mapato

Jumatano, 7 Desemba

Tarehe ya kulipa Kodi ya Mapato ya Mshahara, Kodi ya Kuendeleza Ujuzi na kodi nyingine za zuio chini ya Kodi ya Mapato

Jumanne,20 Disemba

Tarehe ya kuwasilisha Taarifa ya VAT ya Novemba na kulipa kodi kulingana na taarifa ya mapato

Ijumaa, 31 Desemba

Walipa kodi kwa awamu:

Tarehe ya malipo ya awamu ya nne ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2016  kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo kinaishia Desemba 2016

Tarehe ya malipo ya awamu ya kwanza ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017 ambao kipindi cha malipo kinaishia Septemba  2017

 Tarehe ya malipo ya awamu ya pili ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017 kwa walipa kodi ambao kipindi cha malipo kinaishia Juni 2017

Tarehe ya malipo ya awamu ya tatu ya makadirio ya kodi kwa mwaka wa mapato wa 2017 kwa walipa kodi ambao kipindi chao cha kulipa kodi kinaishia  Machi 2017

Ijumaa , 30  Desemba

Taarifa za mwisho za mapato na malipo ya kodi ya kujikadiria mwenyewe

Tarehe ya kuwasilisha taarifa za mwisho kwa mwaka wa mapato wa 2015  kwa walipa kodi ambao kipindi chao cha kulipia kodi kinaishia Juni 2015

Januari - Desemba

Lipia leseni yako ya mwaka ya chombo cha moto na ada ya leseni ya udereva wakati unapofika