Ndugu Walipakodi

Tunapenda kuwakumbusha kwamba tarehe ya kuwasilisha ritani na kulipa kodi ya ajira na kodi nyingine za zuio kwa mwezi Aprili 2017 ni 05/05/2017 au kabla.

Tafadhali lipa kodi yako mapema, tunathamini mchango wako.

“Wasilisha ritani na lipa kodi stahiki kwa wakati”

Kama ukiwa na tatizo lolote, tupigie kwa namba 0800780078, 0800750075 au tuma barua pepe kwenda huduma@tra.go.tz

Mawasiliano ya TRA

Vituo vya Mawasiliano TRA

Tafadhali piga simu Kituoni kwa maulizo, maombi na malalamiko. Wateja wote wa TRA wanahamasishwa kutumia huduma hizi popote pale walipo.

Simu za Tanzania zitakuwa bure kama simu zitapigwa kwa mitandao ifuatayo:

  · 0800 750 075 – kwa watumiaji wa Vodacom

  ·  0800 780 078– kwa watumiaji wa Airteli

  ·  0713 800 333 – kwa Watumiaji wa Tigo

Muda wa kazi Kituoni utakuwa kuanzia Saa 2:00 Asubuhi mpaka 11:00 jioni kwa saa za Tanzania Jumatatu hadi Ijumaa isipokuwa siku za sikukuu.

Ofisi za TRA za Mkoa

Tafuta taarifa zote za mawasiliano kwa ofisi za mikoani hapa.

Maulizo au malalamiko yote yatakayopokelewa kwa baruapepe yatajibiwa ndani ya siku saba za kazi tangu yalipopokelewa.

 • Kituo cha mawasiliano ya simu Mawasiliano ya TRA
  Dar es salaam, Tanzania
  Phone: 0800 750075 (Vodacom )
 • Arusha Meneja wa Mkoa
  Arusha, Tanzania
  Phone: +255 27 2502946
 • Mkoa wa Pwani Meneja wa Mkoa
  Kibaha,
  Phone: +255 23 240 2905
 • Kinondoni Meneja wa Mkoa
  Dar es salaam,
  Phone: +255 22 2771846
 • Ilala Meneja wa Mkoa
  Dar es salaam,
  Phone: +255 22 2185545
 • Temeke Meneja wa Mkoa
  Dar es salaam,
  Phone: +255 22 2861122
 • Mwanza Meneja wa Mkoa
  Mwanza,
  Phone: +255 28 2500906
 • Tanga Meneja wa Mkoa
  Phone: +255 27 2642200
 • Kilimanjaro Meneja wa Mkoa
  Moshi,
  Phone: +255 27 2753268
 • Tabora Meneja wa Mkoa
  Tabora,
  Phone: +255 26 2604609
 • Rukwa Meneja wa Mkoa
  Sumbawanga,
  Phone: +255 25 2801089
 • Ruvuma Meneja wa Mkoa
  Songea,
  Phone: +255 25 2602140
 • Shinyanga Meneja wa Mkoa
  Shinyanga,
  Phone: +255 28 2762385
 • Singida Meneja wa Mkoa
  Singida,
  Phone: +255 26 2502320
 • Mtwara Meneja wa Mkoa
  Mtwara,
  Phone: +255 23 2333662
 • Mbeya Meneja wa Mkoa
  Mbeya,
  Phone: +255 25 2502165
 • Mara Meneja wa Mkoa
  Musoma,
  Phone: +255 28 2622551
 • Manyara Meneja wa Mkoa
  Babati,
  Phone: +255 27 2531006
 • Lindi Meneja wa Mkoa
  Lindi,
  Phone: +255 23 2202662
 • Kigoma Meneja wa Mkoa
  Kigoma,
  Phone: +255 28 2802054