Print

Utangulizi

Mahuruji ina maana kuchukua au kusababisha bidhaa kusafirishwa nje ya Tanzania. Mahuruji husafirishwa bila kutozwa ushuru na kodi isipokuwa kwa vipengele vitatu; Ngozi ghafi ambazo zinabadilishwa kwa kiwango cha 80% ya thamani ya Bei Bila Usafiri au dola za Marekani 0.25 kwa kg, yoyote iliyo kubwa Zaidi, na Korosho ghafi ambazo zinatozwa kiwango cha 15% ikikokotolewa katika Bei Bila Usafiri au Dola za Marekani 160 kwa tani ya ujazo yoyote iliyo kubwa Zaidi, na ngozi chepe zinatozwa kiwango cha 10% ya thamani ya bei bila usafiri.

Nitashughulikia vipi nyaraka za mahuruji?

Angalizo:

Nyaraka gani zinahitajika?

Nyaraka zifuatazo zitatolewa kwa ajili ya kusafirisha mzigo nje ya nchi:

  1. Hati kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa
  2. Hati kutoka Wizara ya Kilimo na Chakula
  3. Hati kutoka Wizara ya Nishati na Madini
  4. Hati kutoka Wizara ya Maliasili

 

Taarifa kuhusu Fedha Taslimu na Hati za Malipo zinazosafirishwa kuingia au kutoka nje ya Nchi