Mamlaka ya Mapato Tanzania ilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na.11 ya mwaka 1995,na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996. Katika kutekeleza majukumu yake ya kisheria, TRA inaongozwa kwa sheria na ina jukumu la kusimamia kwa uadilifu kodi mbalimbali za Serikali Kuu
Mkataba wa mlipakodi