Emblem TRA Logo

TRA YATOA SEMINA YA MABADILIKO YA SHERIA ZA KODI KWA WAHASIBU NA MAAFISA MANUNUZI

18 September, 2025

Zanzibar

Kaimu Meneja Idara ya Kodi za Ndani kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) -Zanzibar Ndg. Abdallah Saleh Kombo akifungua Semina kuhusu Mabadiliko ya Sheria za Kodi kwa Wahasibu na Maafisa Manunuzi wa Serikali. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mayugwani Mjini Unguja tarehe 17/09/2025.