Habari & Matukio
KAMISHNA MKUU MWENDA AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE
06 May, 2025
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amemtembelea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Akson April 2025 katika Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Habari Mpya