Mkurugenzi wa Shirika la Forodha Duniani Ofisi ya Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (WCO ESA ROCB) Bi. Josephine Manyasi, amesema moja ya majukumu makubwa ya taasisi hiyo…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda, amesema ni heshima kubwa kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Shirika la Forodha Duniani Kanda ya…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa mara ya kwanza inakuwa mwenyeji wa mkutano wa shirika la Forodha Duniani Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (WCO ESA) utakaofanyika…
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa utendaji na ufanisi mzuri katika usimamizi wa ukusanyaji wa kodi nchini ambao umeongeza uhiari…