VIWANGO VYA KUBADILISHA FEDHA VYA SARAFU ZILIZOAINISHWA

KATIKA WARAKA NA.157 WA 2017

Vifuatavyo ni viwango vya kubadilisha fedha za kigeni vinavyotumika kuanzia tarehe 23 Agosti 2017. Tafadhali zingatia kuwa Viwango vya kuuza ni kwa ajili ya Maduhuli wakati Viwango vya Kununua ni kwa ajili ya Mahuruji.

NCHI

SARAFU

VIWANGO VYA KUUZIA

VIWANGO VYA KUNUNUA

Marekani

$ ya Marekani

2244.0600

2221.8416

Uingereza

Pauni ya Uingereza

2891.2469

2862.3985

Umoja wa Ulaya

EURO

2640.3610

2613.9966

Kanada

$ ya Kanada

1783.2645

1766.1698

Uswisi

Faranga ya Uswisi

2323.7651

2301.9494

Japani

Yeni ya Japani

20.5953

20.3932

Swideni

Korona ya Swideni

277.2944

274.6846

Norwei

Korona ya Norwei

284.2381

281.5665

Denmaki

Korona ya Denmaki

354.9717

351.5127

Australia

$ ya Australia

1780.6616

1762.5869

India

Rupia ya India

34.9842

34.6432

Pakistani

Rupia ya Pakistani

21.2909

20.0356

Zambia

Kwacha ya Zambia

0.4287

0.4242

Malawi

Kwacha ya Malawi

3.0547

2.8552

Msumbiji

Mozambique Meticais

36.3646

36.0630

Kenya

Shillingi ya Kenya

21.7448

21.5713

Uganda

Shillingi ya Uganda

0.6220

0.5805

Rwanda

Faranga ya Rwanda

2.7188

2.6692

Burundi

Faranga ya Burundi

2.1433

2.1273

Zimbabwe

Zimbabwe $

0.4242

0.4158

Afrika Kusini

Randi ya Afrika Kusini

169.9080

168.3851

Falme za Kiarabu

Dirham ya Falme za Kiarabu

610.9278

604.9119

Singapuri

$ ya Singapuri

1647.3792

1631.7873

Hong Kong

$ ya Hong Kong

286.8212

283.9922

Saudi Arabia

Riali ya Saudi Arabia

598.3681

592.4753

Kuwaiti

Dinari ya Kuwaiti

7433.1236

7361.9668

Botswana

Pula ya Botswana

220.1423

217.2961

China

Yuan ya China

336.2946

333.1147

Malesia

Malaysia Ringgit

523.2739

518.4556

Korea Kusini

South Korea Won

1.9686

1.9526

Nyuzilandi

$ ya Nyuzilandi

1643.1007

1625.9437

SDR

UAPTA

3161.9479

3130.6414

DHAHABU

(T/O)

2891695.7160

2862798.4444