Ndugu Walipakodi

Tunapenda kuwakumbusha kwamba tarehe ya kuwasilisha ritani na kulipa kodi ya ajira na kodi nyingine za zuio kwa mwezi Aprili 2017 ni 05/05/2017 au kabla.

Tafadhali lipa kodi yako mapema, tunathamini mchango wako.

“Wasilisha ritani na lipa kodi stahiki kwa wakati”

Kama ukiwa na tatizo lolote, tupigie kwa namba 0800780078, 0800750075 au tuma barua pepe kwenda huduma@tra.go.tz

Kodi ya kubadili umiliki wa chombo cha moto inalipwa wakati chombo kinapobadili mmiliki kutoka mtu mmoja kwenda mwingine. Kodi ya kuhamisha inalipwa na mmiliki mpya na ushuru wa stempu 1% unalipwa na muuzaji. Kodi hizo zinalipwa benki.

Kodi za Kubadili Umiliki

Gari

ShT 50,000

Pikipiki

ShT 27,000

Kadi mpya ya usajili iliyobadilishwa

ShT 10,000